Reports

Ripoti Kuu Ya Ukaguzi Wa Mashirika Ya Umma Kwa Mwaka Wa Fedha 2022-23

Ripoti hii imeangazia usimamizi wa fedha katika mashirika ya umma. Ripoti hii imejumuisha imeelezea maeneo tofauti katika ukaguzi ikiwemo, sheria za manunuzi, usimamizi wa mapato na fedha, usimamizi w...

29 April, 2024 READ MORE

Ukaguzi Wa Serikali Kuu Kwa Mwaka Wa Fedha 2022-23

  Ripoti hii imeainisha matokeo ya ukaguzi yanayodhihirisha nyanja mbalimbali za usimamizi wa fedha katika Wizara, Idara zinazojitegemea, na Wakala wa Serikali. Ripoti hii imezingatia vipengele...

29 April, 2024 READ MORE

Ukaguzi Wa Serikali Za Mitaa Ripoti Kuu Kwa Mwaka Wa Fedha 2022-23

  Ripoti hii imeainisha matokeo ya ukaguzi ambayo yanadhihirisha nyanja mbalimbali za usimamizi wa fedha katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. Ripoti hii imeizingatia vipengele kama hati...

29 April, 2024 READ MORE

Ukaguzi Wa Ufanisi Ripoti Kuu Kwa Mwaka Wa Fedha 2022-23

  Ripoti hii inawasilisha matokeo ya tathmini ya kina ya namna usimamizi unaofanyika katika sekta tofauti inavyoathiri malengo makuu ya Mipango ya Maendeleo ya Taifa ya Miaka Mitano na Malengo y...

29 April, 2024 READ MORE

Ukaguzi Wa Miradi Ya Maendeleo Ripoti Kuu Kwa Mwaka Wa Fedha 2022-23.

Matokeo ya ukaguzi yanadhihirisha nyanja mbalimbali za usimamizi wa fedha kati ya miradi ya maendeleo. Ripoti hii imeangazia sheria za ununuzi, usimamizi wa mapato na fedha, usimamizi wa matumizi, usi...

29 April, 2024 READ MORE

Ukaguzi Wa Mifumo Ya Tehama Ripoti Kuu Kwa Mwaka Wa Fedha 2022-23

  Matokeo ya ukaguzi yanaonyesha mchanganyiko wa namna tofauti za usimamizi wa Mifumo ya Tehama miongoni mwa Taasisi za Serikali. Wakati baadhi ya Taasisi zimeonyesha usimamizi mzuri wa Mifumo y...

29 April, 2024 READ MORE

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari Kuhusu Ripoti Za Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Kwa Mwaka Wa Fedha Ulioishia Tarehe 30 Juni, 2018

Katika ukaguzi wangu, nilifanya tathmini ya utekelezaji wa mapendekezo ya kiukaguzi yaliyotolewa miaka iliyopita na kubaini kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali katika kuyafanyia kazi.&n...

13 April, 2019 READ MORE

Ripoti Kuu Ya Mwaka Ya Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Juu Ya Taarifa Za Fedha Za Mamlaka Ya Serikali Za Mitaa Kwa Mwaka Wa Fedha 2017/18

Nimefanya ukaguzi wa Taarifa za Fedha kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa 185, na nimetoa hati mbalimbali kwa kaguzi zilizofanyika. Nimefanya tathmini ya hati za ukaguzi zilizotolewa kwa Mamlaka za Seri...

13 April, 2019 READ MORE

Taarifa Ya Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Kuhusu Ukaguzi Wa Miradi Ya Maendeleo Kwa Mwaka Ulioishia Tarehe 30 Juni, 2018.

Taarifa hii imelenga kuwapatia wadau wetu uchambuzi wa hoja mbalimbali zitokanazo na jumla ya kaguzi 469 za miradi ya maendeleo 87 ambazo Ofisi yangu ilikagua kwa mwaka ulioishia tarehe 30 Juni 2018....

13 April, 2019 READ MORE

Ripoti Ya Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Kuhusu Ripoti Za Ukaguzi Wa Ufanisi

Ukaguzi wa Ufanisi unalenga kuboresha uwajibikaji na ufanisi wa taasisi za umma. Pia, unatoa tathmini mahsusi ya namna taasisi ziliokaguliwa zilivyotumia raslimali katika kutimiza majukumu yao kwa kuz...

13 April, 2019 READ MORE

Ripoti Kuu Ya Mwaka Ya Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Juu Ya Ukaguzi Wa Taarifa Za Fedha Za Serikali Kuu Kwa Mwaka Ulioishia Tarehe 30 Juni, 2018

Ripoti hii inatoa muhtasari wa matokeo ya ukaguzi wangu wa taarifa za fedha za Serikali Kuu kwa mwaka wa fedha 2017/2018. Mawanda ya ukaguzi katika Serikali Kuu ni pamoja na Wizara na Idara za Serikal...

13 April, 2019 READ MORE

Ripoti Ya Mwaka Ya Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Kuhusu Ukaguzi Wa Mashirika Ya Umma Kwa Mwaka Wa Fedha 2017/2018

Ofisi yangu imeendelea kutekeleza majukumu yake vizuri kwa kufanya ukaguzi katika maeneo ambayo yasipoangaliwa vizuri yanaweza kuathiri ustawi wa nchi. Ripoti hii imekusanya masuala muhimu yaliyojitok...

13 April, 2019 READ MORE

Annual General Report On The Audit Of Local Government Authorities For The Financial Year 2017/18

This report for the year ended 30th June 2018 has been successfully prepared and completed with a support and cooperation received from various stakeholders.   First of all, I would like to...

11 April, 2019 READ MORE

General Report of the Controller and Auditor General on the audit of information systems for the year ended 30th June, 2018

Government has increasingly computerized its processes to promote more efficient and effective government operations, facilitate more accessible government services, allow greater public access to inf...

11 April, 2019 READ MORE

Annual General Report Of The Controller And Auditor General On The Audit Of Public Authorities And Other Bodies For The Financial Year 2017/2018

My Office has continued to make the Controller and Auditor General’s work more relevant and intensive by focusing our audits in areas of highest risk and greatest importance to the public’...

11 April, 2019 READ MORE

General Report of the Controller and Auditor General on the Performance and Specialized Audit Reports

Performance audits seeks to improve accountability and performance of government organizations. Also, it provides an objective assessment of the extent to which the audited body has used its resources...

10 April, 2019 READ MORE

Annual General Report of the Controller and Auditor General on the Audit of Development Projects for the year ended 30 June 2018

Pursuant to Article 143(4) of the Constitution of the United Republic of Tanzania of 1977 (as amended from time to time) and Section 34 (1) (c) of the  Public Audit Act, 2008, I hereby submit to...

10 April, 2019 READ MORE

Malalamiko Yaliyokithiri Kuhusu Huduma Ya Mabasi Ya Mwendokasi - UDART

ChangeTanzania tumekuwa tukipokea malalamiko mbalimbali kutoka kwa wanachama wetu na wananchi mbalimbali, kuhusu huduma wanazopata kutoka katika taasisi za serikali na binafsi. Tumekuwa tukiwasilisha...

01 April, 2019 READ MORE

Kuwasilisha Ripoti Ya Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Kuhusu Ripoti Kumi Za Ukaguzi Wa Ufanisi Ya Mwaka 31 Machi, 2018

Ukaguzi wa Ufanisi unalenga kuboresha muundo wa uwajibikaji na utendaji wa taasisi za serikali. Pia, unatoa tathmini huru ya namna ambavyo taasisi hizo zinatumia rasilimali katika kutekeleza majukumu...

21 March, 2019 READ MORE

Ripoti Kuu Ya Mwaka Ya Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Juu Ya Taarifa Za Fedha Za Serikali Kuu Kwa Mwaka Ulioishia Tarehe 30 Juni, 2017

Sehemu hii ya taarifa ya ukaguzi wa jumla wa Serikali kuu inatoa muhtasari mfupi wa matokeo makubwa, hitimisho na mapendekezo ya Ukaguzi. Ripoti hii imejumuisha ukaguzi wa Mafungu 65 ya Wizara na Idar...

21 March, 2019 READ MORE

Ripoti Ya Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Kuhusu Ukaguzi Wa Miradi Ya Maendeleo Kwa Mwaka Ulioishia Tarehe 30 Juni, 2017

Sehemu hii ya ripoti inatoa maelezo ya jumla ya matokeo ya ukaguzi wa taarifa za hesabu yanayotakiwa kuzingatiwa kwa umakini na Serikali, Bunge, Maafisa Masuuli na Wadau wengine wa miradi ya maendeleo...

21 March, 2019 READ MORE

Ripoti Kuu Ya Mwaka Ya Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Juu Ya Taarifa Za Fedha Za Mamlaka Ya Serikali Za Mitaa Kwa Mwaka Wa Fedha 2016/2017

Ripoti hii imejumuisha matokeo muhimu ya Ukaguzi wa Mamlaka ya Serikali za mitaa, hasa kwenye tathmini na uchunguzi wa taarifa za fedha pamoja na kumbukumbu zake, udhibiti wa mifumo ya ndani taratibu,...

21 March, 2019 READ MORE

Ripoti Ya Mwaka Ya Mdhibiti Na Mkaguzi Mkuu Wa Hesabu Za Serikali Kuhusu Ukaguzi Wa Mashirika Ya Umma Kwa Mwaka Wa Fedha 2016/2017

Ripoti ya mwaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kuhusu ukaguzi wa mashirika ya umma kwa mwaka wa fedha 2016/2019. Kwa mujibu wa Ibara ya 143 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano...

21 March, 2019 READ MORE