Ukaguzi Wa Serikali Kuu Kwa Mwaka Wa Fedha 2022-23
Ripoti hii imeainisha matokeo ya ukaguzi yanayodhihirisha nyanja mbalimbali za usimamizi wa fedha katika Wizara, Idara zinazojitegemea, na Wakala wa Serikali. Ripoti hii imezingatia vipengele tofauti, ikiwa ni pamoja na usimamizi wa ununuzi, usimamizi wa mapato na fedha, usimamizi wa matumizi, usimamizi wa bajeti na kufuata sheria za kodi. Ripoti hii pia inabainisha maeneo ambayo taasisi hizi zinahitaji kuboresha utendaji kazi na kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi.
The audit findings encompass a diverse array of financial management practices among the MDAs. The report addresses a different area covered in audit, including audit opinions, follow-up of implementation of prior year recommendations, budget management, tax and non-tax revenue, management of public debt, expenditure management, procurement management, management of assets and liabilities, human resources, payroll management and terminal benefits, operational efficiency and governance, internal control, and risk assessment. The report also identifies areas where these entities need to improve their operations and deliver their mandate more efficiently.
#ChangeTanzania