Latest Updates

  • Posted on: April 25, 2024

Umuhimu Wa Maoni Ya Wananchi Kwenye Katiba

Katiba bora huruhusu mapendekezo ya wananchi. Katiba ni muongozo ambao wananchi huamua namna maalum ya  kuongozwa katika nchi yao. Katiba huwepo...

Continure Reading
  • Posted on: March 28, 2024

Kwa Nini Uchawa Na Upotoshaji Vyakithiri Nchini?

Hivi karibuni kuna mwana CCM ameibuka na kusema kusifia Rais Samia kwa kila kitu ni maagizo ya chama, na hivyo kila mtu anawajibu kumsifia kwa kila ja...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Sheria Ya Bima Ya Afya Kwa Wote Ya Mwaka 2023.

Sheria kwa ajili ya kuweka masharti ya kuwezesha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi kupitia bima ya afya, kuanzisha mfumo wa bima ya afya kwa...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Yuko Wapi Dr Mpango? Where Is Dr Mpango?

Hili swali sasa limefika hatua mbaya kidogo, serikali imekuwa na utamaduni wa kudanganya kuhusu wapi walipo viongozi au safari wanazofanya viongozi, K...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Madhara Ya Kufuta Umiliki Na Kuuza Kwa Mtu Mwingine Namba Za Simu Zinapokaa Miezi 3 Bila Kutumika.

Kuna utaratibu mbaya sana umewekwa namna ya usimamizi wa namba SIMU zinapokaa miezi mitatu bila kutumika, Utaratibu huu umelalamikiwa sana na pande zo...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Ukatili Wa Viongozi Wa Kisiasa Katika Jamii.

Hivi karibuni kumekuwa na taarifa kuhusu aliyekuwa Naibu waziri wa Katiba na Sheria kutuhumiwa kunyanyasa mfanyakazi wake kijinsia,  #ChangeTanza...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Nguvu Ya Umma Katika Kuleta Mabadiliko.

Nguvu ya umma ni namna ya wananchi wa kawaida hupigania haki zao, uhuru, na usawa kwa njia halali za kisheria bila kutumia njia za hatari. Hii ni haki...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Kulaani Vikali Ubaguzi Na Unyanyasaji Uliofanywa Na Jeshi La Polisi Dhidi Ya Wanaharakati.

Mtandao wa #WenyeNchiWananchi unaohusisha wananchi mbalimbali wakiwemo wanaharakati inalaani vikali vitendo vya ubaguzi na unyanyasaji vilivyofanywa n...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Kukosekana Kwa Umeme Nchini.

Tatizo la uhaba wa umeme nchini linaathiri maisha ya watu na shughuli za kiuchumi, serikali ya  imekiri kupungua kwa kasi ya uzalishaji umeme hal...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Criminal Appeal Case No 87 Of 2023, Peter Michael Madeleka Versus The Republic Of Tanzania.

On the trial between The Appellant, Peter Michael Madeleka vs The Republic, the appellant was wa challenging the previous judgment on the two grounds...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kuhusu mkataba wa uboreshaji wa bandari za bahari na maziwa Tanzania.

Tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kuhusu mkataba kati ya Jmuhuri ya Muungano wa Tanzania na Emirate of Dubai juu ya ushirikiano wa k...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Hotuba Ya Waziri Wa Fedha Na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba Madelu (Mb), Akiwasilisha Bungeni Mapendekezo Ya Serikali Kuhusu Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Kwa Mwaka 2023/24.

Makadirio ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2023/24 yameandaliwa kwa kuzingatia nyaraka na miongozo mbalimbali ya kitaifa na kimataifa ikiwemo:...

Continure Reading