Report Details

Ukaguzi Wa Miradi Ya Maendeleo Ripoti Kuu Kwa Mwaka Wa Fedha 2022-23.

Matokeo ya ukaguzi yanadhihirisha nyanja mbalimbali za usimamizi wa fedha kati ya miradi ya maendeleo. Ripoti hii imeangazia sheria za ununuzi, usimamizi wa mapato na fedha, usimamizi wa matumizi, usimamizi wa bajeti na kufuata sheria za kodi. Ingawa baadhi wameonesha usimamizi mzuri wa fedha, wengine bado wanakabiliwa na changamoto katika kudumisha usimamizi wa kifedha na utendaji.

 

The audit report reveals a diverse array of financial management practices among the development projects. The report delves into different facets, including procurement laws, revenue and cash management, expenditure management, budget management, and tax compliance. The report also identifies areas where these entities need to improve their operations and execute their mandate more efficiently.

 

#ChangeTanzania


Posted on : 29 April, 2024 DOWNLOAD REPORT