Ukaguzi Wa Serikali Za Mitaa Ripoti Kuu Kwa Mwaka Wa Fedha 2022-23
Ripoti hii imeainisha matokeo ya ukaguzi ambayo yanadhihirisha nyanja mbalimbali za usimamizi wa fedha katika Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. Ripoti hii imeizingatia vipengele kama hati za ukaguzi, hali ya utekelezaji wa mapendekezo ya miaka iliyopita, mapitio ya utekelezaji wa bajeti, ununuzi na usimamizi wa mikataba, usimamizi wa mapato na fedha, usimamizi wa matumizi, usimamizi wa rasilimali watu, mifumo ya uongozi na udhibiti wa ndani, pamoja na mfuko wa kina mama, vijana na watu wenye ulemavu.
The report reveals audit findings that encompass a diverse array of financial management practices among the Regional administrations and Local Governments. The report addresses different areas covered in the audits, including audit opinions, follow-up of the implementation of prior year recommendations, review of budget performance, procurement and contract management, revenue management, expenditure management, human resources management, evaluation of governance, internal controls and risk management and women, youths and people with disabilities fund.
#ChangeTanzania