Ukaguzi Wa Mifumo Ya Tehama Ripoti Kuu Kwa Mwaka Wa Fedha 2022-23
Matokeo ya ukaguzi yanaonyesha mchanganyiko wa namna tofauti za usimamizi wa Mifumo ya Tehama miongoni mwa Taasisi za Serikali. Wakati baadhi ya Taasisi zimeonyesha usimamizi mzuri wa Mifumo ya Tehama, Taasisi zingine zimekabiliwa na changamoto katika kudumisha uthabiti na utendaji wa Mifumo ya Habari.
The audit findings reveal a diverse array of Information Systems management practices among the Government Entities. While some have shown commendable Information Systems management, others have faced challenges in maintaining Information Systems stability and performance. The report delves into different facets, including Information Technology General Controls, Accounting systems, Revenue Systems, Human resource and Payroll systems, Application systems and administration, System Optimization and Process Automation, Operation Efficiency of e-GA.
#ChangeTanzania