Ukaguzi Wa Ufanisi Ripoti Kuu Kwa Mwaka Wa Fedha 2022-23
Ripoti hii inawasilisha matokeo ya tathmini ya kina ya namna usimamizi unaofanyika katika sekta tofauti inavyoathiri malengo makuu ya Mipango ya Maendeleo ya Taifa ya Miaka Mitano na Malengo ya Maendeleo Endelevu. Kwa kuonyesha maswala muhimu yaliyobainishwa katika sekta mbalimbali na tathmini ya ufanisi wa taasisi za Serikali, ripoti hii pia inalenga kuainisha mafanikio na upungufu katika kufikia malengo ya mabadiliko ya kiuchumi na maendeleo ya watu yaliyotarajiwa katika mipango ya maendeleo.
The report thoroughly assesses how management practices of different sectors influence the overarching objectives of the National Five-Year Development Plans and the Sustainable Development Goals. By highlighting significant issues found across various sectors and evaluating the performance of government entities, this report aims to underscore the achievements and shortcomings in realizing the economic transformation and human development targets envisioned in the development plans.
#ChangeTanzania