Report Details

Ripoti Kuu Ya Ukaguzi Wa Mashirika Ya Umma Kwa Mwaka Wa Fedha 2022-23

Ripoti hii imeangazia usimamizi wa fedha katika mashirika ya umma. Ripoti hii imejumuisha imeelezea maeneo tofauti katika ukaguzi ikiwemo, sheria za manunuzi, usimamizi wa mapato na fedha, usimamizi wa matumizi, usimamizi wa bajeti na uzingatiaji wa sheria za kazi. Ripoti hii pia, inabainisha maeneo ambayo mashirika haya yanahitajika kuboresha utendaji kazi na kusimamia mamlaka kwa ufanisi zaidi.

 

 

The audit report reveals findings that encompass a diverse array of financial management practices among the public authorities and other bodies. Of the areas covered in audit, includes procurement laws, revenue and cash management, expenditure management, budget management, and tax compliance. The report also identifies areas where these entities need to improve their operations and deliver their mandate more efficiently.

 

#ChangeTanzania


Posted on : 29 April, 2024 DOWNLOAD REPORT