Utekaji Na Vitisho Kwa Wafanyabiashara - Mpango Wa Nini Huu?
#MariaSpaces #WenyeNchiWananchi #KatibaMpya #ChangeTanzania Utekaji wa wananchi na viongozi wa serikali haujaanza leo na um...
#MariaSpaces #WenyeNchiWananchi #KatibaMpya #ChangeTanzania Utekaji wa wananchi na viongozi wa serikali haujaanza leo na um...
#MariaSpaces #WenyeNchiWananchi #KatibaMpya #ChangeTanzania Kutokana na maoni ya watanzania, Serikali ya Chama Cha Mapinduzi imefeli kati...
Nchi yetu ina zaidi ya miaka 60 lakini bado tunahangaika na kero kama maji, umeme, elimu na huduma ya afya. Serikali ya CCM haijatatua kero za msingi...
Maandamano na migomo ni moja ya nguvu ya umma, wananchi kuchukua madaraka yao, pamoja na kuwajibisha viongozi wasiotaka kuwajibika kwa wan...
Ongezeko la watu nchini inajumuisha uhitaji wa ongezeko la huduma ya afya pamoja na watoa huduma wa afya. Takwimu za Benki ya Dunia, kwa watu 1,000 up...
Uchawa umeshika kasi katika taifa kiasi cha kuchukulia kama kazi nyingine. Hii ni aibu kwa taifa, kwani machawa husifia mambo ambayo hawatakiwi kusifi...
Serikali ya CCM imekua ikibagua wananchi wake katika maendeleo. Kwa awamu hii tumeshuhudia wamasai Loliondo na Ngorongoro wakibaguliwa kwa Serikali ku...
CCM imeweza kuendesha nchi yenye mfumo wa vyama vingi kwa katiba ya chama kimoja kwa zaidi ya miaka 25. Madhara yake tumeshuhudia ukandamizaji na ukat...
Dai la wananchi la kupata Katiba Mpya limedumu kwa zaidi ya miaka 30 sasa na serikali imekuwa ikilipa kisogo kwa kutanguliza maslahi yao mbele. Hivyo,...
Kwa muda mrefu migogoro na ukandamizaji, vimefanywa sana na serikali ya CCM hasa katika awamu ya tano. Maridhiano hulenga kurejesha uhusiano wa...
Ili nchi iweze kuendelea ni lazima iwe na mifumo thabiti ya kisheria, moja ya mfumo mkubwa wa kisheria kuliko yote ni katiba. Katiba ya sasa ina miany...
Wananchi wanahitaji huduma za kijamii na bidhaa mbalimbali za kuwezesha maisha yao ya kila siku lakini gharama zimekuwa zikipanda kadri siku zinavyoen...