Tutapataje Mshikamano #WenyenchiWananchi Kupata #KatibaMpya?
Sakata la Bandari limeonyesha ni kwa jinsi gani tumekosa mshikamano katika taifa letu katika kutetea maswala ya msingi. Katika kutetea rasilimali zetu...
Sakata la Bandari limeonyesha ni kwa jinsi gani tumekosa mshikamano katika taifa letu katika kutetea maswala ya msingi. Katika kutetea rasilimali zetu...
Chama cha Mapinduzi imeweka mipango ya kujipatia fedha kwa njia ambazo ni halali lakini fedha haramu. Katika kipindi kifupi tumeshuhudia mlundikano wa...
Sakata la bandari limeweka wazi kuwa sheria za nchi zinafwata tuu endapo zinatimiza matakwa ya serikali. Vyombo vya habari vimenyamazishwa kuripoti uk...
Pamoja na nchi nyingi kukiri kuwa zinafuata mfumo wa kidemokrasia mara nyingi misingi yake haifuatwi, Tanzania ikiwemo. Rais Samia akiwa anahutubia ka...
Baada ya Rais Samia kuhudhuria maonyesho ya Dubai Maarufu kama Dubai Expo 2020 Februari mwaka jana, mikataba mbalimbali ilisainiwa kati ya nchi hizi m...
Sakata la bandari limeweka wazi kuwa wananchi hawana usemi juu ya serikali yao. Serikali haijali maoni ya wananchi ambao ndio wenye mamlaka ya kweli....
Maoni ya wananchi wengi juu ya mkataba wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DP World yameupinga mkataba huu nakuisihi Serikali kuuvun...
Waraka wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC ) uliotolewa Agosti 18, 2023 , kupinga mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai. Waraka huo uliopewa ji...
Tangu uwekezaji binafsi ulipoanzishwa nchini tumeaminishwa faida nyingi ambazo zingetokana na uwekezaji lakini kama wananchi tumeshuhudia tukibaki pat...
Mkataba wa bandari baina ya Tanzania na DP World umepingwa na watanzania wengi kwa kuwa ni mkataba wa kinyonyaji usio na muelekeo wa kuinufaisha Taifa...
Katika kutetea rasilimali ya nchi isingie kwenye umiliki wa wageni, Wakili Boniface Mwabukusi pamoja na mawakili wengine wamewawakilisha watanzania kw...
Tarehe 13 Oktoba 2023, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitoa Tangazo kwa Umma kuhusu matumizi ya Mtandao wa Kibinafsi wa VPN nchini kwa maelez...