Mwamko Wa Wananchi Katika Kupata Harakati - Tunapataje Umoja Wa Kitaifa?
Maandamano yameruhusiwa katika katiba yetu kama njia mojawapo ya wananchi kueleza na kutetea hoja zao kwa Serikali tawala. Watanzania wameamka n...
Maandamano yameruhusiwa katika katiba yetu kama njia mojawapo ya wananchi kueleza na kutetea hoja zao kwa Serikali tawala. Watanzania wameamka n...
Sakata la bandari limeweka wazi kuwa sheria za nchi zinafwata tuu endapo zinatimiza matakwa ya serikali. Vyombo vya habari vimenyamazishwa kuripoti uk...
Pamoja na nchi nyingi kukiri kuwa zinafuata mfumo wa kidemokrasia mara nyingi misingi yake haifuatwi, Tanzania ikiwemo. Rais Samia akiwa anahutubia ka...
Matukio mengi yamekuwa yakitokea hivi karibuni yameashiria kuwa ni maandalizi ya chama tawala CCM katika kujihakikishia ushindi katika uchaguzi unaoku...
Chama cha Mapinduzi imeweka mipango ya kujipatia fedha kwa njia ambazo ni halali lakini fedha haramu. Katika kipindi kifupi tumeshuhudia mlundikano wa...
Serikali hajawahi kushirikisha wananchi katika mchakato wa kupata #KatibaMpya , walipojaribu kufanya hivyo mwisho wa siku wakachachachua mchaka...
Wananchi wanaripoti matukio ya ndugu zao kupotea, wakati wa awamu ya 5 hii ilijulikana kufanyika na wasiojulikana. Kila mtu ana haki ya kuishi, inapot...
Ardhi ni moja ya nyenzo ya wananchi kujikwamua kiuchumi. Matukio ya wananchi kuporwa ardhi yameongezeka sana hivi karibuni. Wananchi wanashidwa kufany...
Chama Cha Mapinduzi kimekuwa kiking’ang’ania madaraka kwa miongo kadhaa, jambo ambalo ni hatari kwa kuwa imesababisha haki za wananchi kup...
Dhuluma ni matokeo ya udhaifu wa mfumo uliopo. Mifumo yetu inabariki dhulma na haisisitizi uwajibikaji wa viongozi kwa wananchi, madaraka yamekuwa ndi...
Maslahi ya vyama vya siasa ni tofauti na maslahi ya wananchi, wapo wanasiasa ambao wanazingita zaidi kulinda maslahi yao binafsi na vyama...
Swali kwa Serikali kwa sasa inafanya mchakato wa katiba wa aina gani? Ni Muhimu kukawa na taarifa kwa umma, Waziri wa Katiba na sheria na wizara...