Mikataba 36 Ya Dubai Expo - Yaliyomo Na Uhuru Wetu.
Baada ya Rais Samia kuhudhuria maonyesho ya Dubai Maarufu kama Dubai Expo 2020 Februari mwaka jana, mikataba mbalimbali ilisainiwa kati ya nchi hizi m...
Baada ya Rais Samia kuhudhuria maonyesho ya Dubai Maarufu kama Dubai Expo 2020 Februari mwaka jana, mikataba mbalimbali ilisainiwa kati ya nchi hizi m...
Chama Cha Mapinduzi kipo madarakani si kwa ridhaa ya wananchi bali ni nguvu ya dola inayowezeshwa kwa katiba yetu ya sasa. Kwa mfumo wa sasa Rais ndio...
Mkataba wa bandari baina ya Tanzania na DP World umeanisha kuwa endapo DP World watahitaji ardhi basi Serikali ya Tanzania haitakuwa na budi zaidi ya...
Maoni ya wananchi wengi juu ya mkataba wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DP World yameupinga mkataba huu nakuisihi Serikali kuuvun...
Mkataba wa bandari baina ya Tanzania na DP World umepingwa na watanzania wengi kwa kuwa ni mkataba wa kinyonyaji usio na muelekeo wa kuinufaisha Taifa...
Nguvu ya umma ni muhimu katika kuhakikisha kuwa matatizo ya wananchi yanatatuliwa. Ili kuimarisha mshikamano na nguvu ya umma inabidi watanzania wawek...
Katiba ya Tanzania ina mapungufu makubwa kuhusu haki za binadamu ambapo imechangia kwa kiasi kikubwa uvunjifu wa haki za binadamu. Mfano haki ya kutoa...
Miundombinu mibovu katika shule zetu ikiwemo uhaba wa madawati umepelekea wanafunzi kusoma katika mazingira magumu ikiwemo kukaa chini pamoja na kuhud...
Ili #KatibaMpya ipatikane, Serikali inabidi iwe na dhamira njema na ya dhati ya kuleta katiba mpya na maoni yawe ya wananchi na si chama cha sia...
Kwa hali ya sasa na kwa katiba iliyopo wananchi hawawezi kuona thamani ya rasilimali za nchi maana dhamana ya nchi iko chini ya Rais. Ni kwa sababu hi...
Pamoja na wananchi kuupinga mkataba wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na DP World, Serikali kupitia bunge ilipitisha makubaliano hayo bila ya k...
Serikali imekua ikipinga vikali jitihada za vyama vya upinzani na taasisi mbalimbali katika harakati za kupambania katiba mpya. Hii imeonekana kwa kut...