Twitter Spaces

  • Posted on: March 15, 2024

Utalii, Maliasili, Uhifadhi - Tunanufaikaje?

#MariaSpaces #WenyeNchiWananchi #KatibaMpya  Ni jinsi gani kama Taifa tunanufaika na utalii na mali asili yetu. Wananchi walisema kuwa maliasili...

Continure Reading
  • Posted on: March 15, 2024

Siasa na Uchumi - Je tunapata Uongozi Tunaostaili.?

Viongozi ni watatuzi wa matatizo na si vinginevyo lakini sivyo ilivyo katika nchi yetu. Viongozi hawana mawazo ya kujenga nchi bali wanakaa na kufikir...

Continure Reading
  • Posted on: March 15, 2024

Lessons from Kenya #KatibaMpya

Uchaguzi sii uhasama bali ni kutekeleza haki ya kidemokrasia. Mjadala huu ulilenga kupata mafunzo juu ya uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Kenya na jin...

Continure Reading
  • Posted on: March 15, 2024

Usimamizi wa Uchumi na Viongozi wetu - Tuko Vizuri

Wananchi walitambua mchango wa viongozi kwenye kujenga uchumi wa nchi na kwamba kama tutaweza kuchagua viongozi bila uchakachuaji wa kura tutapata vio...

Continure Reading
  • Posted on: March 15, 2024

Mauaji Kiholela Ya Polisi na Uwajibikaji.

Wananchi wamefikia hatua ya kujiona kuwa  wako salama mikononi mwa polisi nje ya nchi kuliko walivyo katika  nchi yao. Kumekuwa na matukio m...

Continure Reading
  • Posted on: March 15, 2024

Uongozi, Uwajibikaji na Utawala Wa Sheria.

Serikali imekua ikitunga sheria kwa ajili yake na si kwa ajili ya wananchi, hii ni kwa sababu sheria ambazo zimekuwa zikitungwa zmekuwa za kuwakandami...

Continure Reading
  • Posted on: March 15, 2024

Polisi Katili - Mamlaka Kimya, Tufanye Nini?

mwenendo wa jeshi la polisi na Serikali kutochukuliwa hatua yeyote juu ya uvunjifu wa sheria unaofanywa na jeshi la polisi. Wananchi wamelalamika juu...

Continure Reading
  • Posted on: March 15, 2024

Wananchi Kukataa Uonevu - Tumefanya Vya Kutosha

Mjadala  umehoji jitihada za wananchi katika kukataa uonevu unaofanyika dhidi yao.  Uonevu kwa wananchi umekuwa ukionekana katika maeneo mba...

Continure Reading
  • Posted on: March 15, 2024

Nchi Kufunguka Na Hali Halisi Kiuchumi.

Wananchi wamesema kuwa nchi imefunguka kwa kubagua matabaka kwani kiuchumi wengi wao wanaona maisha yao bado ni magumu sana hakuna nafuuu yoyote, Kama...

Continure Reading
  • Posted on: March 15, 2024

Je Serikali inaboresha ama inafifisha ustawi wa jamii?

Mjadala kuhusu ustawi wa jamii,  . Mambo kadhaa yanayohatarisha maisha ya binadamu kama njaa, magonjwa, maswala ya haki ya binadamu kama kuonewa...

Continure Reading