CCM Kutumia Dola Kushika Dola Tunaondokana Vipi Na Usultani Wao?
Chama Cha Mapinduzi kimekua kikiongoza Tanzania tangu taifa letu lipate uhuru na kimeendelea kubaki madarakani kwa zaidi ya miaka sitini sasa. Kuendel...
Chama Cha Mapinduzi kimekua kikiongoza Tanzania tangu taifa letu lipate uhuru na kimeendelea kubaki madarakani kwa zaidi ya miaka sitini sasa. Kuendel...
Kwa muda mrefu watanzania wamekuwa wakichukulia siasa kama kazi ya watu waliopo madarakani tuu na kwenye vyama vya siasa na kujiweka kando na mambo ya...
Ulagai kipindi cha uchaguzi ni jambo la kawaida na lyme kuwepo miaka na miaka japo mbinu zinazotumika zimekuwa zikibadilika. Serikali ya CCM imekuwa i...
Mafanikio ya nchi yanapangwa na uongozi uliopo madarakani. Hali mbaya ya nchi yetu inasababishwa na viongozi wetu kutofikiri vizuri na kukosa maoni ya...
Tanzania ina utawala mbovu kwa sababu ya katiba mbovu. Wananchi wamekumbana na maovu mengi chini ya serikali ya CCM. Mauaji ya raia yameongezeka, ukan...
Wananchi wanaendelea kusumbuliwa na matatizo mbalimbali nchini. Sekta ya ardhi imekua changamoto, watu wanauwawa kwa kupigwa risasi. Migogoro kati ya...
Baada ya wananchi kutangaza maandamano ya kuishinikiza serikali kuzingatia maoni ya wananchi kwenye Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, wabunge na...
Sakata la Bandari limeonyesha ni kwa jinsi gani tumekosa mshikamano katika taifa letu katika kutetea maswala ya msingi. Katika kutetea rasilimali zetu...
Kwa zaidi ya miaka 60 baada ya uhuru wananchi wa Tanzania bado wanakosa huduma muhimu kama maji, umeme na afya. Huduma ya afya ni muhimu kwani wanadam...
Sheria ya rasilimali imekataza kesi za rasilimali zetu zisishtakiwe nje lakini bado serikali yetu wamesaini mkataba wa bandari ambao umekiuka sheria z...
Sakata la bandari limeweka wazi kuwa wananchi hawana usemi juu ya serikali yao. Serikali haijali maoni ya wananchi ambao ndio wenye mamlaka ya kweli....
Katika kutetea rasilimali ya nchi isingie kwenye umiliki wa wageni, Wakili Boniface Mwabukusi pamoja na mawakili wengine wamewawakilisha watanzania kw...