Twitter Spaces

 • Posted on: March 18, 2024

Katiba Mpya Ni Wajibu Wetu, Tunatoaje Elimu Kwa Umma?

Katiba ya sasa imekandamiza haki za binadamu na kukosa njia ya kuwawajibishaji viongozi pale wanapokosea. Wananchi wa Tanzania wameonekana kukaa kando...

Continure Reading
 • Posted on: March 18, 2024

Uteuzi Wa Wastaafu Na Waliofanya Dhulma, CCM Ina Mkakati Gani?

Moja ya changamoto tuliyonayo kama nchi ni kundi la utawala kuteka nchi na kulindana, hata wale wanaofanya matukio yasiyofaa katika ofisi za umma wana...

Continure Reading
 • Posted on: March 18, 2024

Serikali Inayopora Mali Na Kuleta Tozo Hovyo Inawajibishwaje?

Serikali imekua ikipora mali za umma kwa kiasi kikubwa kwa kuwa katiba tuliyonayo inawapa mamlaka hayo. Sheria za ardhi zinaipa mamlaka Serikali kuhod...

Continure Reading
 • Posted on: March 18, 2024

Tutafanikisha Vipi Harakati Ya Kupinga Kodi / Tozo Holela?

Kwa kipindi cha hivi karibuni Serikali yetu imeongeza na kuleta kodi mpya nyingi ambazo zimekua mzigo kwa wananchi hasa wa kipato cha chini. Athari ya...

Continure Reading
 • Posted on: March 18, 2024

Sakata la bandari, usalama na maslahi ya tanganyika ndani ya muungano.

Vuguvugu imeendelea baina ya wananchi juu ya sakati hili la bandari baada ya mkataba wa azimio la serikali ya Tanzania kuingia makubaliano na Dubai Po...

Continure Reading
 • Posted on: March 18, 2024

Je katiba mpya itatunufaisha na kuboresha maisha yetu?

Katiba yetu ya sasa ni chanzo cha mataizo mengi yanayowakumba wananchi wa Tanzania kwa kuwa haikidhi mahitaji na mabadiliko yaliyotokea nchini tangu k...

Continure Reading
 • Posted on: March 18, 2024

Nafasi Ya Wanawake Katika Harakati.

Kitakwimu wanawake ni wengi kuliko wanaume katika jamii yetu, hivyo wana nafasi kubwa ya kutetea Taifa kwa harakati zinazofanyika nchini. Wananwake wa...

Continure Reading
 • Posted on: March 18, 2024

Tunaikomboaje mchakato wa #katibampya kutoka mikononi mwa CCM?

Uongozi wa nchi yoyote ya kidemokrasia unaamuliwa na wananchi na sio chama tawala lakini kwa sasa chama kimeshika hatamu . Suhala la #KatibaMpya ni ta...

Continure Reading
 • Posted on: March 18, 2024

Mikopo, Miradi Na Madeni - Je Bunge Linatimiza Wajibu?

Kinachokwamisha Taifa letu kupata maendeleo ni ombwe kubwa la viongozi kwa asilimia kubwa ni  wasiowajibika hasa wabunge, hakuna sehemu wananchi...

Continure Reading
 • Posted on: March 18, 2024

Je mikutano ya hadhara itasaidia madai ya katiba mpya?

Mikutano ya hadhara nchini ilipigwa marufuku kipindi cha Rais mstaafu hayati John Pombe Magufuli. Katazo hilo limedumu kwa takribani miaka sita kabla...

Continure Reading
 • Posted on: March 18, 2024

Ujanja Wa CCM Na Mchakato Wa #KATIBAMPYA.

Uhitaji wa katiba mpya limekua ni jambo linalopigiwa kelele na watanzania kwa muda mrefu sasa. Kumalizika kwa mchakato wa #KatibaMpya umekua ukipigwa...

Continure Reading
 • Posted on: March 18, 2024

Uhuru wa vyombo vya habari - Uhuru au hisani ya CCM?

#WenyeNchiWananchi  #KatibaMpya #ChangeTanzania  Uhuru wa vyombo vya habari nchini ni mdogo mno. Kuanzia kipindi cha hayati Rais Magufuli T...

Continure Reading