News Details

Polisi Katili - Mamlaka Kimya, Tufanye Nini?

mwenendo wa jeshi la polisi na Serikali kutochukuliwa hatua yeyote juu ya uvunjifu wa sheria unaofanywa na jeshi la polisi. Wananchi wamelalamika juu ya mienedo ya polisi kuwa ni hatari na huwa hawaheshimu sheria. Jeshi la polisi limekuwa likitumika kutekeleza matakwa ya Serikali na chama tawala. Wananchi wameomba uchunguzi ufanyike kuchunguza kwa nini jeshi la polisi linaenda kwa jinsi linayoenenda kujua shida ipo wapi kama ni kwenye mafunzo wanayopewa, au kwenye utekelezaji wa majukumu yao. Pia kuna haja ya uwepo wa sheria ya kuwezesha wananchi kushtaki polisi mahakamani ili kuwajiisha polisi kwa matendo yao maovu. Pia wananchi  wamemuomba  rais akemee vitendo vinanyofanywa na polisi pamoja na mahakama ambavyo vimechangia uvunjifu wa haki za binadamu.

ENGLISH VERSION

Citizens have aired out complaints on the behavior of the police to be dangerous as they do not respect the law. The police force has been used to implement the wishes of the Government and the ruling party. Citizens have asked for an investigation to investigate why the police force is acting in such a manner and find out where the problem is, whether it is in the training given, or in the implementation of their duties. Citizens also suggested that there is a need for a law to enable citizens to sue the police in court and for them to be accountable for their evil actions. The people have also asked the president to publicly condemn the actions being done by the police and the courts that in so many ways have led to the violation of human rights.

#ChangeTanzania

0 Comment

Leave a Comment