Latest Updates

  • Posted on: March 20, 2024

Je serikali ina nia ya kuleta unafuu kwenye mawasiliano? Hali ya upatikanaji na unafuu wa huduma.

Waziri wa habari, Teknolojia na mawasiliano  Nape Nnauye kipindi cha serikali ya awamu ya 5 aliwasilisha hoja Bungeni ya kuondosha a kurusha mata...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Ubovu Wa Miundombinu Ni Changamoto Katika Elimu

Sekta ya elimu ni  nyeti katika ukuaji na maendeleo ya nchi. Sekta hii ipo chini ya Wizara ya Elimu. Licha ya kuwa na umuhimu katika Taifa sekta...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Tozo Kwa Abiria Na Watumiaji Wa Kituo Cha Mabasi Cha Magufuli.

Moja ya mapato ya Halmashauri au majiji ni tozo kwenye stand za mabasi, tozo ziko za aina nyingi sana, moja ni tozo wanayotozwa abiria wenyewe ticket...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Ubadhilifu ukarabati Kivuko cha Kigamboni.

Tarehe 9 January 2023 Kivuko cha MV. KAZI kilirejea eneo la Magogoni Kigamboni kwa ajili ya kutoa huduma baada ya kukamilika kwa ukarabati wake uliogh...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Mifumo Ya Haki Na Sheria Katika Nchi Yetu.

Tanzania tumekuwa na mifumo mibovu ya Haki na Sheria ambayo kwa kiasi kikubwa ina athiri maisha na ustawi wa wananchi katika nyanja zote , Sheria nyin...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Baadhi Hawajaripoti Kazini Katika Teuzi Za Ukuu Wa Wilaya.

Teuzi za  wakuu wa wilaya zilizofanywa na Rais hii ikitokana na  mamlaka yaliyopo kwenye Katiba ya Jamhuri wa Tanzania 1977, Tanzania ina ju...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Madaraka Ya Rais Yapunguzwe Katika Suala La Teuzi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana madaraka makubwa hasa katika uteuzi ambayo yanapelekea kukwamisha uwajibikaji na utendaji kwa manufaa ya w...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Mgogoro wa Ardhi Mbarali Mbeya

Serikali ya awamu ya sita chini ya  Rais Samia imeendelea kutekeleza  uonevu mkubwa na uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu katika suala zima...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Utawala Bora Na Rushwa Ya Madaraka.

Pamoja na changamoto nyingi  tulizonazo Tanzania, kukosa huduma muhimu  maji,  umeme, huduma mbovu za afya, miundombinu isiyozingatia v...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Utawala Bora na Rushwa Ya Madaraka.

Pamoja na changamoto nyingi  tulizonazo Tanzania, kukosa huduma muhimu  maji,  umeme, huduma mbovu za afya, miundombinu isiyozingatia v...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Je, Rais ameheshimu takwa la katiba kuhusu mikutano ya hadhara kwa nia ya Dhati?

Mnamo tarehe 03 mwezi Januari mwaka 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliruhusu kuendelea kwa mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa amaby...

Continure Reading
  • Posted on: March 20, 2024

Utunzaji wa maliasili zetu.

Maliasili za Taifa ni kitu kinachopaswa kulindwa na kutunzwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za nchi kwa manufaa ya watanzania wote. Lakini katika nc...

Continure Reading