Hotuba Ya Waziri Wa Fedha Na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb.), Akiwasilisha Bungeni Makadirio Ya Mapato Na Matumizi Ya Wizara Ya Fedha Na Mipango Kwa Mwaka 2023/2024.
Mh Waziri Mwigulu Lameck Nchemba aliwasilisha Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara kwa mwaka 2022/23 pamoja na Mwenendo wa Utekelezaji wa Vipaumbele vya Wizara Kukusanya, kutafuta na kudhibiti mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka unaofuata 2023/2024. Pia Kufanya tathmini ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na maandalizi ya Dira 2050.
#ChangeTanzania
0 Comment
Leave a Comment