Gallery

Uhuru wa Kujieleza Semina

Siku ya uhuru wa vyomvo vya habari itakayoadhimishwa Mai 3, kwamba hivi sasa matukio mengi yanajiri Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini ambapo watu hususani vijana kwa pamoja wamesimama kidete ili kupinga miongo ya ukandamizaji na kunyimwa haki za msingi za binadamu.