Wito wa kusitisha Tozo / Kodi ya Laini ya Simu kila mwezi

Usitishaji wa Tozo ya Laini za simu kila mwezi.

Tukiwa ni wapiga kura wa majimbo mbalimbali nchini Tanzania, tumechukua jukumu leo kutoa wito kwa wabunge na serikali kufuta tozo/kodi mpya ya laini za simui liyoanza kutumika baada ya sheria kupitishwa na Bunge Juni 2013. Hii ni sehemu muhimu ya wajibu wetu kama raia waaminifu, wenye nia njema ya kuchangia mawazo