SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE YA MWAKA 2023

Sheria kwa ajili ya kuweka masharti ya kuwezesha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi kupitia bima ya afya, kuanzisha mfumo wa bima ya afya kwa wote, kuweka masharti ya kupanua wigo wa huduma mbalimbali za afya; na kuweka masharti mengineyo yanayohusiana na hayo.Leave a Reply