Rasimu ya mitaala ya Elimu ya awali, msingi, sekondari na ualimu.

SERIKALI imeamua kutoa rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 toleo la 2023 na rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Awali, Msingi,Sekondari na Vyuo vya Ualimu hadharani ili kupata maoni ya wananchi.Leave a Reply