t

Update

TERMS AND CONDITIONS

Welcome to our website. If you continue to browse and use this website, you are agreeing to comply with and be bound by the following terms and conditions of use. If you disagree with any part of these terms and conditions, please do not use our website.

The use of this website is subject to the following terms of use:


You may not do any of the following while accessing or using the Change Tanzania platform and services:


Uchambuzi Wa Sheria Nane (8) (Miscellaneous Amendments) (No.3) Act, 2019 Uliofanywa Na Asasi Za Kiraia. (Consolidated Analysis And Proposed Amendments On The Bill).

Mapendekezo ya marekebisho ya sheria nane tofauti ambayo yamepelekwa  kwenye Kamati ya Bunge ya katiba na Sheria kwa hati ya dharura. Sheria hizo ni pamoja na Sheria ya Makampuni, Sheria ya Asasi za Kiraia, Sheria ya Takwimu, Sheria ya Vyama vya Kijamii, Sheria ya Filamu na Michezo ya Kuigiza pamoja, Sheria ya Wakala wa Usafirishaji Majini, Sheria ya Hatimiliki na Sheria ya Miunganiko ya Wadhamini.  Mapendekezo haya yaliwasilishwa Jumatano Juni 19, 2019

Ukiwa kama mdau wa kutetea demokrasia na haki ya ushiriki (right of association) unaombwa kuweka sahihi yako katika jukwaa la wito  kuhusu “Ombi Kwa bunge na serikali kuongeza muda wa mchakato wa Muswada wa Mabadiliko ya Sheria mbali mbali (8) zilizopo bunge kwa hati ya dharura.” 

Bonyezaa Link ifuatayo kuweka sahihi yako na kuliomba bunge na serikali kuongeza muda wa kujadili muswada hapa.

Sign Petition Sasa


download REPORT Posted on : 25 June, 2019