Mchakato Wa Kutatua Mgogoro Wa Ngorongoro

Taarifa hii imetokana na mchakato na maamuzi ya wananchi kupitia viongozi wao wa kisiasa na kimila chini uratibu wa Mbunge wa Wilaya ya Ngorongoro kutafuta nia ya kuendeleza majadialiano na serikali na mamlaka zake za hifadhi ili kutafuta muafaka wa kutatua mgogoro huu uliodumu zaidi ya miongo mitatu (3).Leave a Reply