Leadership

The economic development of any country is dependent on good leadership as the core values of a nation are directly linked to equality and equal distribution of resources. In order to successfully transform the lives of Tanzanians, we need dedicated leaders at both national and county level, who are committed to serving the people setting aside personal ambitions and those who believe in driving industrialization towards achieving equality and equity for our nation.

Hatma ya kina Mbowe kujulikana Ijumaa

Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imesema Ijumaa Februari 18, 2022 itatoa uamuzi iwapo Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu wana kesi ya kujibu au la katika kesi ya ugaidi inayowakabili. Jaji Joachim Tiganga anayesikiliza kesi hiyo amesema hayo leo Jumanne Februari 15, 2022 baada ya upande wa mashtaka kuieleza mahaka kuwa wamefunga kesi hiyo kwa shahidi wa 13 kuhitimisha ushahidi wake. Shahidi huyo wa 13 wa upande wa mashtaka ambaye ni Mkaguzi wa Polisi, kutoka Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi, Mkoa wa Kipolisi Temeke, Tumaini Swila amemaliza kutoa ushahidi baada ya kuhojiwa maswali ya dodoso na upande wa utetezi.   Read more...

Read More Download Document