Kwa nini mamlaka ya Rais yapunguzwe katika katiba Mpya?

This Maria Space discussion centered on the need to reduce the power bestowed on the president for a responsible and accountable government. Citizens agreed on the need for a constitution that will protect the president in performing the required responsibilities assigned to him/her by the constitution, but one that will be strict enough to constrain him/her from unlawful acts brought about as a result of his/her human nature but for it to help him/her bring sustainable changes if intentions are genuine.

Limitations of the now constitution were explored with one of them being that it shields the president from accountability measures in that citizens can not question the acts or inactions of the government in any court of law even after he/she finishes the term of service. In order to have a president that will work for the people it is important for the constitution to clearly state his/her responsibilities and obligations but also it should state what the president should not do and if he/she does against the constitution should state what should be done (accountability measures).

SWAHILI VERSION

Mjadala huu wa Maria Space umeangalia hitaji la kupunguza nguvu ya rais ili kupata serikali inayo jituma na kuwajibika. Wananchi walikubaliana juu ya hitaji la katiba mpya ambayo itamlinda rais kutimiza wajibu wake lakini ambayo itamfunga asiweze kutumia madaraka kwa matakwa yake ya kibinadamu lakini imuwezeshe kuleta maendeleo kama kweli amedhamiria.

Mapungufu ya Katiba ya sasa yaliongelewa kwa kina moja ya mapungufu hayo ikiwa ni kwamba imemlinda Rais kutokuwajibika kwa matendo aliyoyafanya na ambayo alitakiwa kufanya lakini hakufanya akiwa madarakani na hata akimaliza muda wake. Ili kuwa na Rais ambaye atawatumikia wananchi ni muhimu kwa Katiba kuanisha kwa uwazi majukumu ya Rais na yale ambayo anatakiwa, na kutokufanya lakini bila kusahau hatua zitakazo chukuliwa juu yake endapo atafanya kinyume na hapo.Leave a Reply