Haki Zetu Na Demokrasia Tusubiri Hadi #KATIBAMPYA ?

OVERVIEW  

HAKI ZETU NA DEMOKRASIA TUSUBIRI HADI #KATIBAMPYA ?

#MariaSpaces  #WenyeNchiWananchi  #KatibaMpya #ChangeTanzania 

Mienendo ya serikali hivi karibuni imeamsha watanzania wengi juu ya haki zao. Tozo imeleta muamko kwa watanzania kuendeshwa vile serikali inavyotaka kwa sababu imegusa maisha ya kila mtu. Wtanzania wamekubali kuendelea kupigania haki na demokrasia wakiwa wanaendelea kusubiri katiba mpya. Wanachi kwa ujumla wao wamehimizana kuaamka na kila mtu kuchukua nafasi yake katika kupigania haki katika taifa  na si kuachia wanaharakati na wanasiasa kwenye kudai haki. Viongozi wa dini wameombwa kuchukua hatua juu ya yanayotokea nchini na kudai demokrasia. Waandishi wa habari wamekua wakizuia habari kwa kuhofia maslahi na maisha yao na si ya umma hivyo kutoa habari zinazo ibeba serikali. Waandishi wa habari waungane katika kutetea haki zao na demokrasia ya kweli inayotoa haki ya kutoa na kupokea taarifa. Katika hili pia wananchi walihimizana kuwekeza katika vyombo vya habari huru ili tuweze kupigania haki lakini pia matumizi ya mitandao ya kijamii ilitiliwa msisitizo kwani mpaka leo imekua ni njia nzuri za kuwawajibisha viongozi. Wananchi hawana muda wa kusubiri bali wachangamke kupigania haki.

#ChangeTanzania  #MariaSpaces 

ENGLISH VERSION

Recent government actions have awakened many Tanzanians about their rights. High tax charges have brought awareness to Tanzanians on the need to exercise their power and not be run as the government wants because the government is accountable to them. Tanzanians have agreed to continue fighting for justice and democracy while they continue to wait for a new constitution. Citizens in general have encouraged each other to wake up and for everyone to take their place in fighting for justice in the nation and not to leave the fight for justice and true democracy to activists and politicians. Religious leaders have been asked to take action on what is happening in the country and demand for democracy. Journalists who have been withholding information in fear of their interests and lives and not of the public were encouraged to unite in defending their rights and a true democracy that provides the right to give and receive information. Investment in independent media and the use of social media platforms were among the ways recommended in the fight for justice and demanding for government accountability. Citizens don’t have time to wait for a new constitution but fight for justice and democracy.

#ChangeTanzania   #MariaSpacesLeave a Reply