t

Gallery

TERMS AND CONDITIONS

Welcome to our website. If you continue to browse and use this website, you are agreeing to comply with and be bound by the following terms and conditions of use. If you disagree with any part of these terms and conditions, please do not use our website.

The use of this website is subject to the following terms of use:


You may not do any of the following while accessing or using the Change Tanzania platform and services:


Inclusive Development for Citizens FORUM ARUSHA.

Ijumaa ya Mei 24 mwaka 2019 Asasi ya Inclusive Development for Citizens ilifanya kongamano kubwa jijini Arusha lililokuwa na mada kuu iliyokuwa inasema "MATUMIZI CHANYA YA MITANDAO". Kongamano hili lilifanyika katika  ukumbi wa MS-TCDC ulioko USA River.  

Wazungumza wakuu wakiwa Askofu Benson Bagonza, Dr. Azaveli Lwaitama, Wakili Fatma Karume, Wakili Swedy Shilinde, Happness Lenard, na  Lusajo.

Mbali na kujadili Matumizi chanya ya mitandao wadau waliweza kujadili changamoto kadhaa wa kadhaa zinazo wakumba watumiaji wa mitandao pamoja na njia ya kujinasua katika kutumia mitandao.