t

Event

TERMS AND CONDITIONS

Welcome to our website. If you continue to browse and use this website, you are agreeing to comply with and be bound by the following terms and conditions of use. If you disagree with any part of these terms and conditions, please do not use our website.

The use of this website is subject to the following terms of use:


You may not do any of the following while accessing or using the Change Tanzania platform and services:


SIKIA RA15 CONCERT BAGAMOYO, LIVE PERFORMANCE - 2019

Posted on : 19 March, 2019

Tarehe 23/03/2019 Mwanamuziki nyimbo za kianaharakati Vitali Maembe   ameandaa onesho la muziki lijulikanalo kwa jina la “SIKIA RAI5” kwa nia ya kuendelea kuhamasisha wananchi kuwajibika kwa taifa lao na viongozi wetu kuendelea kuwa wazalendo na  kuwatumikia wananchi kwa weledi na uadilifu, wakazi wa Bagamoyo pamoja na watanzania wote mnakaribishwa.

Kiingilio: BURE.

Mahali: CHUO CHA SANAA BAGAMOYO TASUBA kuanzia saa 09:00 Alasiri mpaka  saa 12:00 Jioni. Je ungependa kuhudhuria kwenye onyesho hili??....Jisajili sasa kwa kubonyeza ATTEND THIS EVENT...


Guest of Honor : . Main Speaker : Vitali Maembe Moderator : Vitali Maembe
Panel List : Wasanii