t

Event

TERMS AND CONDITIONS

Welcome to our website. If you continue to browse and use this website, you are agreeing to comply with and be bound by the following terms and conditions of use. If you disagree with any part of these terms and conditions, please do not use our website.

The use of this website is subject to the following terms of use:


You may not do any of the following while accessing or using the Change Tanzania platform and services:


Inclusive Development for Citizens FORUM MAY 24, 2019. MATUMIZI CHANYA YA MTANDAO

Posted on : 13 May, 2019

#ChangeTanzania tunatarajia kufanya kongamano lingine la nne nje ya Mkoa wa Dar es Salaam na sasa ni Mkoani Arusha, Kongamano hili litafanyika Tarehe 24/05/2019 .  Jukwaa hili linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu lina lengo la kuwaelimisha, kuwapa wananchi nguvu, hamasa na kujenga bidii ya kushiriki katika maendeleo ya Taifa hasa kupitia matumizi ya mitandano ya kijamii .

 

Je uko Mkoani Arusha na ungetamani kuhudhuria na kuwa sehemu ya wahudhuriaji wa kongamano hili litakalowakutanisha wapenda maendeleo, Haki za binadamu, na demokrasia?, Kutakuwa na wazungumzaji mashuhuri karibu ujielimishe, karibu tujenge nchi, ..Kushiriki ni rahisi sana, Jisajili sasa kwa kubonyeza kitufe kilichoandikwa ATTEND THIS EVENT…  

KUMBUKA NI KWA WALIO ARUSHA TU AU WANAOWEZA KUFIKA ARUSHA…  Fuatilia mitandao yetu kwa Taarifa zaidi

 

ARUSHA TUNAKUJA..


Guest of Honor : . Main Speaker : . Moderator : .
Panel List : .